By @zamaradimketema - . . PART 2. Sio kila mtu ANAPENDA KUJISHAUA NA KUONGEA AMA KURINGISHIA, tusilazimishane tabia zisizo zetu, na nimeongea haya ili tu KULINDA BRAND YANGU inayotafutwa na watu kwa nguvu kutaka kuichafua baada ya maisha yao kuwashinda. Narudia tena Naongea yote haya not because nataka KURINGISHIA/BRAGGING but because IAM A BRAND, shughuli nzima kabla haijafanyika ilikuwa SPONSORED KILA KITU ULICHOKIONA, HAKUNA ALIENICHANGIA SUMNI YA 40 labda zawadi ambazo zilitoka kwao wenyewe kwa mapenzi yao wenyewe,ukinuliza zimekujaje sijui maana sikuwepo kwenye group zao kujua mipango yao ila naamini ni UTU WAO KWANGU. Wameona imepita wanaanza kusema kuhusu group nyingine ya watu wa wonder women imenichangia, guys sikumuomba mtu zawadi, wala sijawahi kupiga tarumbeta kusema nataka mtu afanye kitu, watu wamejichanga wenyewe kuninunulia zawadi tena sidhani kama ilizidi elfu 80 tu za KITANZANIA kwa hilo group linalosemwa la watu sio chini ya 200 ambao kwa pamoja ndio hiyo elfu themanini, sikujua wamepanga saa ngapi wala sikuomba bado naamini ni UTU WAO, kweli sherehe ya sio chini ya MILIONI 20 useme nimechangiwa kupitia hiyo hela ISIYOZIDI LAKI, ukiangalia kuanzia DECOR ambayo @partyboxevents amehusika sio chini ya milioni kumi (invoice attached) chakula, vinywaji, nguo, na kila unachokiona HAKUNA ALIETOA SHILINGI YAKE, tukija kwenye nguo naambiwa nilipewa mshono na mtu nikaenda kushona kwingine!! Funny wallah!! Na nimeshangazwa sana na uongo mkubwa wa namna hii, Nimeattach ushahidi hapo juu kuwa MIMI NDIO NIMETUMA HUO MSHONO KWAKE NA SIO YEYE, hakuwa anaufahamu kabla, hata kama kuna roho mbaya mnanipa sio ya kiasi hiko, sasa hapo nani mbaya!? Kutokana na kupishana na muda nikaona nikashone kwingine, na zaidi Swala la kushona popote ni uamuzi, since sio mshono niliochukua kwa mtu nina uhuru wa kuupeleka popote, nina biashara ya duka la nguo nina CATERING ila silazimishi kila ananenijua aje kwangu, na zaidi SIJISIKII VIBAYA riziki inapoenda kwa wengine, sina roho mbaya hiyo, riziki kugawana. Am very dissapointed kiukweli na binaadamu ila nimegundua kinachofanya haya yote sio kwamba wananihofia mimi ila NGUVU YANGU. hata ukinyamanza kimya watu