Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
100%100%Unamaanisha hii yote ni kutafuta kiki JF ama?
100%100%Unamaanisha hii yote ni kutafuta kiki JF ama?
Tutajuaje anazo asipojionesha???[emoji23][emoji23][emoji23]...Kazi wanayo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo acha tu nikupumzishe
Huku kheri kabisa sijui huko
Wakizeeka wataacha.[emoji23]Yaani hizi drama zao zinachosha kwakwel
Sidhani....Michezo tu ya kuigiza.
Dogo bado anawaburuza eeeh?
Fisi Mwekundu dadangu mpole kaonekana katika huo uzi? Bila shaka roho inauma masikini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku kwema pia carba
Wakizeeka wataacha.[emoji23]
Atakuwa na id nyingine. Ila aliniangusha sana. Wife kabisa halafu anachezewa na viandaeitini! Iliniuma utafikiri mi ndo jamaa...Tangu lile tukio dadako sijamuona humu
Hata kama ndo wewe ndg....Ukiona app ya JF tu unashtuka, mapigo ya moyo yanakwenda kasi.Tangu lile tukio dadako sijamuona humu
Atakuwa na id nyingine. Ila aliniangusha sana. Wife kabisa halafu anachezewa na viandaeitini! Iliniuma utafikiri mi ndo jamaa...
Japo kuchapiwa ni siri ya ndani lakini....
Hatari tupu... Na alivyokuwa ka adress mpaka anapofanyia kazi kama kuna watu wake wa karibu humu inakuwa hatari zaidi....Atakuwa na id nyingine. Ila aliniangusha sana. Wife kabisa halafu anachezewa na viandaeitini! Iliniuma utafikiri mi ndo jamaa...
Japo kuchapiwa ni siri ya ndani lakini....
Moyo unakaribia kuchomoka kwa rib cage[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama ndo wewe ndg....Ukiona app ya JF tu unashtuka, mapigo ya moyo yanakwenda kasi.
Hatari tupu... Na alivyokuwa ka adress mpaka anapofanyia kazi kama kuna watu wake wa karibu humu inakuwa hatari zaidi....