Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Alikuwa anasubiri kuona kama mabomu mengine yatalipukaMoyo unakaribia kuchomoka kwa rib cage[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila alijikaza kukaa kaa baada ya zile picha[emoji23][emoji23]
Alikuwa anasubiri kuona kama mabomu mengine yatalipukaMoyo unakaribia kuchomoka kwa rib cage[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila alijikaza kukaa kaa baada ya zile picha[emoji23][emoji23]
Yaani, dah! Tuyaache kama yalivyo...[emoji114][emoji114][emoji114]Nawaza tu kama mumewe anapita kama guest tu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anasubiri kuona kama mabomu mengine yatalipuka
Yaani, dah! Tuyaache kama yalivyo...[emoji114][emoji114][emoji114]
Ni kweli shem. Kuchapiwa uchapiwe na madhaifu yako pia yatangazwe. Yaani ukipita tu mitaani huko unasikia watu wanacheka. Ninamdharau sana mwanandoa anayemsema mwenzi wake nje. Dadangu kwa kweli aliniangusha sana...ila ukome kututania. Tangu uache kuanzia majuzi ile nina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]Shem kuoanga ni kuchagua,alijichagulia yaliyomkuta.
Me huwa nadhani mkishakiwa wanandoa ni kufichiana madhaifu yenu,sasa kuja kumuanika mumeo kuwa anakojoa mapema sijui tukufikirie vipi.
Na zule picha hata kama si zake mke wa mtu yapaswa kujichunga.
Ila mwisho wa siku yale yaliyomkuta aliyataka.
Alisema hata anakofanyia kazi?Hatari tupu... Na alivyokuwa ka adress mpaka anapofanyia kazi kama kuna watu wake wa karibu humu inakuwa hatari zaidi....
Zama kama chuchunge wote wanafosi usupastaa na kutaka kunyenyekewa na kila mtu,maskin akina wema wanataniwa wameachangia elfu 80 tu wakati walienda kwa mbwembwe kubwaMpaka hapo kesha ringisha tayari.
Ila zama siku hizi na yeye kama kawa mtu wa drama,hazpendezi hizi mambo awaachie kina wema na wenzie bhana
Haya mambo wamwachie LeKokabangazi. Dada wa taifa alianika kibamia chake jamaa wala hakujali tena ndo akaanza kuchimba biti.Moyo unakaribia kuchomoka kwa rib cage[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila alijikaza kukaa kaa baada ya zile picha[emoji23][emoji23]
Kiandaeitini kilimpa ahadi kede kede akajisahau karopoka ya ndani.... Na mimi nitakunyima nanii yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem kuoanga ni kuchagua,alijichagulia yaliyomkuta.
Me huwa nadhani mkishakiwa wanandoa ni kufichiana madhaifu yenu,sasa kuja kumuanika mumeo kuwa anakojoa mapema sijui tukufikirie vipi.
Na zule picha hata kama si zake mke wa mtu yapaswa kujichunga.
Ila mwisho wa siku yale yaliyomkuta aliyataka.
Zama kama chuchunge wote wanafosi usupastaa na kutaka kunyenyekewa na kila mtu,maskin akina wema wanataniwa wameachangia elfu 80 tuMpaka hapo kesha ringisha tayari.
Ila zama siku hizi na yeye kama kawa mtu wa drama,hazpendezi hizi mambo awaachie kina wema na wenzie bhana
Ni kweli shem. Kuchapiwa uchapiwe na madhaifu yako pia yatangazwe. Yaani ukipita tu mitaani huko unasikia watu wanacheka. Ninamdharau sana mwanandoa anayemsema mwenzi wake nje. Dadangu kwa kweli aliniangusha sana...ila ukome kututania. Tangu uache kuanzia majuzi ile nina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio.Alisema hata anakofanyia kazi?
If you know you know [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungemalizia na if you know you know
Kama.kawaida na hapo ka edit maana aliandika wanamuonea wivu kisa wanaume aliozaa nao mara sijui zama ndo anataka muibia hahahahahHuyu bidada na yeye kila uchwao kulalamika kujifanya victim tu aagggrr[emoji36][emoji36][emoji36]si atulie sasa afanye maisha yake
Zama kama chuchunge wote wanafosi usupastaa na kutaka kunyenyekewa na kila mtu,maskin akina wema wanataniwa wameachangia elfu 80 tu wakati walienda kwa mbwembwe kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alijaribu kurusha mawe ilhali jumba lake la vioo.Huo ni moyo wa kishujaa
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama mama[emoji23][emoji23]