Hahaha aiseeNarudia tena: Kuna viporo vingine huwa havichachi wala kumaliza utamu. Ova [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa kamjbu vzr sana,, maana huyu jamaa ni falaKuna jamaa kamjibu hii comment [emoji116][emoji116][emoji116] kanifurahisha sana:
View attachment 835867
Stori tu za JF hizo hazina ukweli wo woteKuna wanaume wana mioyo[emoji23]
Ni stori ndio, lakini naimani hawakosekani wa hivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stori tu za JF hizo hazina ukweli wo wote
Tulia kama maji ya msingi😂😂
kila mtu ni muhimu sana
Uporo unaliwa ila siyo kwa staili ya huyo mdada[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124]Yale yale tuliyokuwa twasema jana....Mawasiliano ya nini na EX?? Mtu ushakuwa na mtu mwingine......Wanaoafiki basi bila shaka wanafaidika kwa viporo.
SYB [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Yaani hata mimi nimeshindwa kumuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu achapiwe hakuna namnaJamaa ni fala sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,kwan unaruhusu vp mawasiliano kati ya demu wako na ex wake lazma aliwe tu
Zama hzo ulizikuta?
Nimecheka sana. Ni mwanaume wa Dar ama? Sijasoma sredi [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️