Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wamarekani safari hii wamepata rais kwa kweli. Jamaa anatukana kama mtoto mdogo. Mpaka wenyewe wameanza kukiri kuwa it is just too much...
Wamarekani safari hii wamepata rais kwa kweli. Jamaa anatukana kama mtoto mdogo. Mpaka wenyewe wameanza kukiri kuwa it is just too much...
GGMU[emoji123]Mashabiki wa Aseno tunaonewa. konge na BAK njooni tupambane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 836071
Ni shida huyu jamaa..Wamarekani safari hii wamepata rais kwa kweli. Jamaa anatukana kama mtoto mdogo. Mpaka wenyewe wameanza kukiri kuwa it is just too much...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Aaaaargh !!!
Ushaharibu kila kitu...
We Kazaramo wewe hovyo kabisaa !!!
Sijui nikutie kwenye iginoa listi wallahi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutia kwenye ignore list kwa wiki moja kuanzia leo wallahi mane lavuzi mi. Jumanne ijayo ikifika nikumbushe nikufungulie. Ukizingua tena nakutia huko pamanentili mpaka Mzee wa Mwakaleli aje na busara zake. Shwaiiiniii kabisa [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Shem [emoji119]Sielewi kitu,naamini sitaelewa kabisa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] acha nijiendee zangu...