Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sarri pia ametaka wachezaji wa Chelsea kutolala pamoja hotelini siku moja kabla ya mchezo Stamford Bridge, utaratibu ambao hata hivyo bado ulikuwa mgumu kutekelezeka.



gazeti la Daily Telegraph lilisema kuwa Sarri amelegheza utaratibu wa kula kwa wachezaji na wachezaji wameambiwa kula wanachotaka lakini kwa mpangilio.



Sarri amefuta mpango aliouanzisha Conte wa kulala hotelini siku ya mechi, lakini mpango mpya ni kwamba hata siku ya mechi hakuna mpango wa kulala hotelini na wachezaji watatoka nyumbani na wanakutana klabuni tayari kwa mchezo.
 
NI sahihi tu kusema, macho ya watu hayakuwapo tu uwanjani wakati wa mechi za kwanza za Ligi Kuu England zilipofanyika wikiendi iliyopita, bali pia yalielekezwa kwenye mabenchi ya ufundi kuona kocha gani alikuwa na saa ya bei mbaya zaidi kwenye mechi hizo za kwanza.

Kama ilivyo kwenye vita ya kufukuzia ubingwa kwa makocha wa Top Six, vita yao ilikuwa hivyo pia kwenye kuonyeshana ubabe kwamba ni yupo kati yao kuanzia Pep Guardiola hadi Maurizio Sarri ni yupi aliyekuwa na saa ya maana mkononi mwake.
 
Kocha mmoja tu, kwenye Top Six, ambaye ndiye pekee timu yake haijapata ushindi katika mechi ya kwanza, Unai Emery wa Arsenal, yeye pekee saa yake haikuonekana ni ya aina gani na ina thamani kiasi gani. Makocha wengine wa Top Six na thamani ya saa zao walizovaa kwenye mechi zao za kwanza za Ligi Kuu England hawa hapa na kuthibitisha kwamba mikono ya makocha hao ni pesa tu.
 
Jose Mourinho - Pauni 15,909

Mreno Jose Mourinho alivuta macho ya wengi Ijumaa iliyopita huko uwanjani Old Trafford wakati kikosi chake cha Manchester United kilipowakaribisha Leicester City kwenye mechi ya kwanza ya Ligi Kuu England msimu huu. Macho ya mashabiki yalitua mkononi kwa Mourinho, ambapo alikuwa saa matata Hublot Big Bang Unico 45mm Automatic Chronograph Magic Gold, ambayo inaaelezwa thamani yake ni Pauni 15,909.
 
Pep Guardiola - Pauni 15,000

Guardiola anaishi maisha ya kibosi huko Manchester City. Kocha huyo Mhispaniola, Jumapili iliyopita alipokwenda Emirates kumenyana na Arsenal, mkononi alikuwa na saa moja inayoitwa Richard Mille RM 004. Ni saa matata kwelikweli na bei yake inadaiwa kuwa ni zaidi ya Pauni 150,000. Kwa makocha unaambiwa saa ndiyo kila kitu na ndio maana wamekuwa wakijaribu kumiliki saa kali na matata ambazo pia zimekuwa zikiwao ngezea mvuto.
 
Pep Guardiola - Pauni 15,000

Guardiola anaishi maisha ya kibosi huko Manchester City. Kocha huyo Mhispaniola, Jumapili iliyopita alipokwenda Emirates kumenyana na Arsenal, mkononi alikuwa na saa moja inayoitwa Richard Mille RM 004. Ni saa matata kwelikweli na bei yake inadaiwa kuwa ni zaidi ya Pauni 150,000. Kwa makocha unaambiwa saa ndiyo kila kitu na ndio maana wamekuwa wakijaribu kumiliki saa kali na matata ambazo pia zimekuwa zikiwao ngezea mvuto.
 
Mau ricio Poch ettino - Pauni 7,352

Mauricio Pochettino alihakikisha kwamba kila mtu anapata nafasi ya kuona kitu kilichokuwa kwenye mkono wake wakati alipokuwa akipiga makofi kuwahamasisha mashabiki. Katika mechi yake ya kwanza ya ligi, kocha huyo wa Tottenham Hotspur alionekana kuwa na saa kali aina ya Aquatimer Chronograph toleo la Expedition Charles Darwin, ambayo imetajwa kwa mba thamani yake ni Pauni 7,352.
 
Jurgen Klopp - Pauni 5,500

Jurgen Klopp aliliongoza vyema chama lake la Liverpool kwenye mechi ya kwanza ya Ligi Kuu England dhidi ya West Ham United na kuibuna na ushindi wa Nne Bila uwanjani Anfield. Katika mechi hiyo ya kwanza, Klopp alihitaji kuwa na mwenekano tofauti ndani ya uwanja na nje pia, ambapo mashabiki waliomtazama basi walimwona ametupia kitu cha maana mkononi, wakati alipokuwa na saa aina ya IWC Aquatimer Ceratanium “50 Years Aquatimer” yenye thamani ya Pauni 5,500.
 
Makocha hao ni pamoja na Nuno Espirito Santo wa Wolves, aliyekuwa na saa aina ya Tag Heuer yenye thamani ya Pauni 1,250, kocha Roy Hodgson wa Crystal Palace alionekana na Hublot Big Bang Gold Ceramic yenye thamani ya Pauni 25,200, Slavisa Jokanovic wa Fulham alikuwa na Rolex yenye thamani ya Pauni 5,950, wakati Eddie Howe wa Bournemouth alitinga saa ya Apple Watch Series 3, thamani yake ni Pauni 329.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…