Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

David Wagner wa Huddersfield alivaa saa aina ya Casio G-Shock Alarm Chronograph yenye thamani ya Pauni 100, huku Manuel Pellegrini alionekana na IWC Schaffhausen Pilot’s Watch Mark XVIII yenye thamani ya Pauni 3,690 na Marco Silva wa Everton alionekana akiwa ametinga Cvstos Challenge II Chrono Power Reserve Steel yenye thamani ya Pauni 9,010.
 
KILA mtu anafahamu mjadala ambao ukianzishwa hauwezi kufika mwisho. Mjadala wa nani mkali baina ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

Mastaa hao wawili wamekuwa kwenye viwango vya juu vya soka lao kwa muda mrefu sana kiasi cha kutawala Tuzo za Ballon d’Or kwa miaka kibao na kila mmoja amebeba tuzo hiyo mara tano.
 
Naibu Waziri wa Mawasiliano amesema kila mtanzania atatakiwa kuwa na laini moja tu ya simu na kama atahitaji line ya pili itambidi kuandika barua TCRA.

Amesema endapo Serikali itaridhika na sababu zako ndio utaongezewa line ya pili.

Chanzo: ITV habari!

MUNGU ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
DuhDuh aiseeee naona ttcl inaanza pigiwa promo kama tbc
 
5. Gonzalo Higuain (Ronaldo: Real Madrid – Messi: Argentina)

Straika Higuain alijiunga na Real Madrid akiwa na umri mdogo tu na kwenye kikosi hicho alikwenda kukutana na Ronaldo, ambaye alikuja kujiunga na timu hiyo akitokea Manchester United. Higuain alitengeneza pacha nzuri na Ronaldo wakati Los Blancos ilipokuwa chini ya Jose Mourinho na aliuzwa baada ya Mourinho kuondoka Madrid.

Baada ya kucheza na Ronaldo huko Madrid, Higuain alicheza na Messi pia kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Argentina na walicheza michuano mikubwa ikiwamo fainali za Kombe la Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…