StereoHassani Rehani Bichuka
Maadui leo wote nitawajua tuhuna maana, hiyo inakufaa sana leo
Hahahaaa...a hard stuff.Captain Morgan
Kiungo mchezeshaji..Naona unapiga huku na huku [emoji23] [emoji23]
Naogopa kusutwa. ....nina moyo mwepesiiiLoh!! Ahsante kwa ushirikiano
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Njoo kwangu.......... Haya nawatakia mafundishano mema. Mkapate kuelewana....Sijadukua mpendwa.Ni kitu kilichopo kwenye ratiba kama wewe kuingia Jf Chitchat.Njoo kwangu for a bible lesson today.
Kula likes kwanzaMmh kun watu mmelala na huu uzi looh
Asante mchunga ng'ombe na kuku wa bwanaHabari ya Jumapili wakuu. Ni kwa neema na makusudi ya Mungu baba kutufanya tukutane tena, tuombe akatufanye ndugu tena na kutuondolea tofauti zilizo kuwepo au kama zitajitokeza, upendo ukatawale na makwazo yakashindwe kwa jina la baba aliye, Mungu pekee. Amen
Me nipo hapahapaUsiende mbali
Bwana kidevuAbdul Salvador
Jana nilikuwa naigiza movie maana nimesikia bongo movie wasanii wamekimbia kaziHahaa huyu kayataka mwenyewe umeona alichonifanyia jana?