Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
IMG-20180817-WA0007.jpg
 
Popote ulipo SHIMBA YA BUYENZE mkoromije habari yako[emoji120] [emoji120]

Nakumbuka nimewahi kukuona kwenye uzi wa mwenzetu aliye kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa. Baada ya kuunganisha matukio imeonekana amefariki mwezi Juni 22. Najua wengi tuliumia kwa uandishi wake, lakini pia maandiko yake wengine yametujenga kuwa na HOFU ya Mungu.
Tulio kuwa tunaupitia ule uzi kila mara ni kama tupo kwenye maombolezo
Mungu ametenda vile anavyo ona inafaa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Rest in peace brother...
Ooh! Amefariki hatimaye? Imethibitishwa? Apumzike kwa amani mpendwa huyo. Angalau alikuwa na ujasiri wa kuiaga dunia na kupitia kwake si ajabu kuna mtu ambaye amepata tafakari chanya kuhusu uhai wetu katika sayari hii kwa sababu tuna tabia ya kujisahau sana. Bado sisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Popote ulipo SHIMBA YA BUYENZE mkoromije habari yako[emoji120] [emoji120]

Nakumbuka nimewahi kukuona kwenye uzi wa mwenzetu aliye kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa. Baada ya kuunganisha matukio imeonekana amefariki mwezi Juni 22. Najua wengi tuliumia kwa uandishi wake, lakini pia maandiko yake wengine yametujenga kuwa na HOFU ya Mungu.
Tulio kuwa tunaupitia ule uzi kila mara ni kama tupo kwenye maombolezo
Mungu ametenda vile anavyo ona inafaa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Rest in peace brother...
Inna lillah wainna ilayihi rajuun.
Aseee kumbe ameshatangulia mwenzetu!! Sijapita huko muda sasa.
Mwenyezi Mungu amuhifadhi
 
Back
Top Bottom