Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha! Huo nao mzigo Moud??
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Yeye hajui kuwa kuna mizigo mingine utadhani ina miiba... Hata style ya kuibeba inakuwa taabu kuipatia
8fe9b346ebce2e048b48c641d9fde6fe.jpg
 
Hahahahaha! Huo nao mzigo Moud??
Mizigo mnayo nyanyuaga si ya kawaida, huwaga najiuliza kuwa huenda mmefungwa spring za Forklift[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ooh! Amefariki hatimaye? Imethibitishwa? Apumzike kwa amani mpendwa huyo. Angalau alikuwa na ujasiri wa kuiaga dunia na kupitia kwake si ajabu kuna mtu ambaye amepata tafakari chanya kuhusu uhai wetu katika sayari hii kwa sababu tuna tabia ya kujisahau sana. Bado sisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen. Mimi ni mmojawapo.
Kuna member ali comment kwa kumtaja rafiki yake aliye kuwa anaumwa kama mleta uzi, cha zaidi kataja umri na shule.
Hizi Id zinaficha mengi sana, alizikwa hapa Kibaha mchana,alikuwa na wadhifa na mtu wa watu sana....
 
Mizigo mnayo nyanyuaga si ya kawaida, huwaga najiuliza kuwa huenda mmefungwa spring za Forklift[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], shwainiiii kabisa
 
Back
Top Bottom