Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooh! Amefariki hatimaye? Imethibitishwa? Apumzike kwa amani mpendwa huyo. Angalau alikuwa na ujasiri wa kuiaga dunia na kupitia kwake si ajabu kuna mtu ambaye amepata tafakari chanya kuhusu uhai wetu katika sayari hii kwa sababu tuna tabia ya kujisahau sana. Bado sisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Inna lillah wainna ilayihi rajuun.
Aseee kumbe ameshatangulia mwenzetu!! Sijapita huko muda sasa.
Mwenyezi Mungu amuhifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…