Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika iman yangu,,, kuna sehemu kwenye kitabu kinasema "zakatuli mauti"moja ya hadithi za mtume mohamed (swa) anasema kuwa kabla ya kufa huwa kuna siku 40,,ndani ya siku hzo 40 Mungu huwa anakuonesha jinsi kifo chako kitakavyokuwa,,, na kama wewe ni mcha Mungu, mtoa sadaka,, hata ndani ya siku hzo 40 ukafanya hvyo basi hata siku ya kifo chako utakufa ukiwa mwenye kutabasamu

Kuna hadithi nyingi sana juu ya siku ya kufa kwako,,, sijui Kama umenielewa vzr mzee
 
Upate darasa la kufa kwa amani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umewaza mbali sana.
Kuna kipindi unakuwa kwenye magumu hadi dunia unaichukia. Kuna muda unahisi hela inaweza kutatua shida,kumbe sio...
Kuna watu wamepewa na Mungu uwezo wa kuongea na mtu aliye kwenye mkwamo hadi ana nasuka.
Furaha ni kitu muhimu sana...
 
Ooooh! Vizuri, nikajua mwenzetu wahitaji kupewa darasa ujiandae kufa kwa amani.
 
Unajua, ukisoma ule uzi utaona namna ambavyo jamaa amejikubali. Mwenyezi Mungu amuhifadhi
 
Nimekuelewa ninge,ahsante. Tuishi kwa kumpendeza Mungu muda wote. Tukikengeuka tutubu mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…