Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo ataanza leo katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Chievo Verona.
Ronaldo mwenye miaka 33 aliyetua Juventus akitokea Real Madrid, kwa ada ya Euro 100 milioni, anatarajiwa kuipa timu hiyo mafanikio ya uwanjani na ya kiuchumi.
Mshindi huyo mara tano wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Fifa ‘Ballon d'Or’, ambaye amekuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya soka la Italia, anatarajiwa kuuzaja uwanja kutokana na mashabiki watakaomwagika uwanjani kuja kumshuhudia.