Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Dah acha tu,,, nilikuwa namtegemea PSG,,, lkn anavyonfanyia hapa Mungu anamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah acha tu,,, nilikuwa namtegemea PSG,,, lkn anavyonfanyia hapa Mungu anamuona
PSG huwa namwamini sana, dozi zake huwa ni kuanzia 3-5 ....Ila akiamua kuzingua anazingua kweli.....Ungempa option ya magoli.Dah acha tu,,, nilikuwa namtegemea PSG,,, lkn anavyonfanyia hapa Mungu anamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuata hii kanuni aisee hutakaa ubikiri mtu...[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asenali bhanaPedro(chelsea)View attachment 840587
[emoji736][emoji736]Ushikaji, Urafiki Mara zote una Mwisho lakini Undugu Haunaga Mwisho !Wafanye watu wako Muhimu Kama Ndugu Sio Marafiki !
Yap,, PSG wapo vzr Sana,, aisee kabadirisha matokeo hadi Dak ya 77 walikuwa wapo 1-1,,,naona game now imeisha kashinda 3-1PSG huwa namwamini sana, dozi zake huwa ni kuanzia 3-5 ....Ila akiamua kuzingua anazingua kweli.....Ungempa option ya magoli.
Anacheza na nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Always akili za kuambiwa changanya na zako....Na ukichoka kuchanganya na zako ni afadhali tu ubakie CHACHAWA permanently. I know how the game is played...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe jifanye bingwa wa kutongoza humu kama hujaibuka na nguva, ooh! Unaimbisha halafu sauti inayokujibu ina kibesi! [emoji23][emoji23][emoji1550]
Na wewe ni mshabiki wa mpira?PSG huwa namwamini sana, dozi zake huwa ni kuanzia 3-5 ....Ila akiamua kuzingua anazingua kweli.....Ungempa option ya magoli.
Anacheza na nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh! Hivo presha hakuna tena eeh! Huyo Guingamp huwa hatabiriki, wenzie kina Nantes...Hawaaminiki sana.Yap,, PSG wapo vzr Sana,, aisee kabadirisha matokeo hadi Dak ya 77 walikuwa wapo 1-1,,,naona game now imeisha kashinda 3-1
Alikuwa anacheza na Guingamp
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jifanye bingwa wa kutongoza humu kama hujaibuka na nguva, ooh! Unaimbisha halafu sauti inayokujibu ina kibesi! [emoji23][emoji23][emoji1550]
Team mbovu,team ya mchangani[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 840605
[emoji124][emoji124]
Nantes na Monaco,,, hawa sio kabsa,, Hapa Kanjibai anakupiga huku unajionaOooh! Hivo presha hakuna tena eeh! Huyo Guingamp huwa hatabiriki, wenzie kina Nantes...Hawaaminiki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app