Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wivu na uchoyo
Katika chapisho la mwaka 2014, "Women are their own worst Enemies" kwa tafsiri isiyo rasmi likimaanisha 'Mwanamke ni adui wa mwanamke' lililoandikwa na Lucille Keen, anasema "wakati wanaume wanapandishiana sauti na mara nyingine kuishia kukunjiana ngumi, wanawake kisirisiri wanarudishana nyuma taratibu kwa kutesana kisaikolojia. Sio kwa sababu tunafikiri wanawake wengine hawawezi, ila kwa sababu tunawaona kuwa ni tishio."
Inasemekana kuwa mwanamke anapomfanyia ubaya mwanamke mwenzie hufanya kwa kificho kutoka moyoni.
"Haya mapambano yanafanyika kisirisiri na katika visa vingi yanafanywa na wanawake hao hao wanaoimba na kusifu nguvu ya mtoto wa kike, harakati za mambo ya wanawake na wanawake kupendana,"anasema Kelly Valens, kupitia kitabu chake cha "The twisted sisterhood" cha mwaka 2010.
Ni vema muyajue hayo wenyewe, maana tukisema sisi tutaongeza tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1534498578964.jpg
 
Wivu na uchoyo
Katika chapisho la mwaka 2014, "Women are their own worst Enemies" kwa tafsiri isiyo rasmi likimaanisha 'Mwanamke ni adui wa mwanamke' lililoandikwa na Lucille Keen, anasema "wakati wanaume wanapandishiana sauti na mara nyingine kuishia kukunjiana ngumi, wanawake kisirisiri wanarudishana nyuma taratibu kwa kutesana kisaikolojia. Sio kwa sababu tunafikiri wanawake wengine hawawezi, ila kwa sababu tunawaona kuwa ni tishio."
Inasemekana kuwa mwanamke anapomfanyia ubaya mwanamke mwenzie hufanya kwa kificho kutoka moyoni.
"Haya mapambano yanafanyika kisirisiri na katika visa vingi yanafanywa na wanawake hao hao wanaoimba na kusifu nguvu ya mtoto wa kike, harakati za mambo ya wanawake na wanawake kupendana,"anasema Kelly Valens, kupitia kitabu chake cha "The twisted sisterhood" cha mwaka 2010.
Wanawake sie wanafiki sana + roho mbaya...Unakuta mtu anakuchekea machoni kumbe kuna bomu analiandaa akulipue nalo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama nimekosea mkuu Moud?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama anajing'ata ila ujumbe umekufikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] fanya uwezalo kutimiza adhma yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahahahaha! Ulielewa vibaya[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom