Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"



Wewe jifanye bingwa wa kutongoza humu kama hujaibuka na nguva, ooh! Unaimbisha halafu sauti inayokujibu ina kibesi! [emoji23][emoji23][emoji1550]
 
PSG huwa namwamini sana, dozi zake huwa ni kuanzia 3-5 ....Ila akiamua kuzingua anazingua kweli.....Ungempa option ya magoli.
Anacheza na nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap,, PSG wapo vzr Sana,, aisee kabadirisha matokeo hadi Dak ya 77 walikuwa wapo 1-1,,,naona game now imeisha kashinda 3-1
Alikuwa anacheza na Guingamp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jifanye bingwa wa kutongoza humu kama hujaibuka na nguva, ooh! Unaimbisha halafu sauti inayokujibu ina kibesi! [emoji23][emoji23][emoji1550]
Always akili za kuambiwa changanya na zako....Na ukichoka kuchanganya na zako ni afadhali tu ubakie CHACHAWA permanently. I know how the game is played...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…