Ni vema muyajue hayo wenyewe, maana tukisema sisi tutaongeza tatizoWivu na uchoyo
Katika chapisho la mwaka 2014, "Women are their own worst Enemies" kwa tafsiri isiyo rasmi likimaanisha 'Mwanamke ni adui wa mwanamke' lililoandikwa na Lucille Keen, anasema "wakati wanaume wanapandishiana sauti na mara nyingine kuishia kukunjiana ngumi, wanawake kisirisiri wanarudishana nyuma taratibu kwa kutesana kisaikolojia. Sio kwa sababu tunafikiri wanawake wengine hawawezi, ila kwa sababu tunawaona kuwa ni tishio."
Inasemekana kuwa mwanamke anapomfanyia ubaya mwanamke mwenzie hufanya kwa kificho kutoka moyoni.
"Haya mapambano yanafanyika kisirisiri na katika visa vingi yanafanywa na wanawake hao hao wanaoimba na kusifu nguvu ya mtoto wa kike, harakati za mambo ya wanawake na wanawake kupendana,"anasema Kelly Valens, kupitia kitabu chake cha "The twisted sisterhood" cha mwaka 2010.
Wanawake sie wanafiki sana + roho mbaya...Unakuta mtu anakuchekea machoni kumbe kuna bomu analiandaa akulipue nalo....Wivu na uchoyo
Katika chapisho la mwaka 2014, "Women are their own worst Enemies" kwa tafsiri isiyo rasmi likimaanisha 'Mwanamke ni adui wa mwanamke' lililoandikwa na Lucille Keen, anasema "wakati wanaume wanapandishiana sauti na mara nyingine kuishia kukunjiana ngumi, wanawake kisirisiri wanarudishana nyuma taratibu kwa kutesana kisaikolojia. Sio kwa sababu tunafikiri wanawake wengine hawawezi, ila kwa sababu tunawaona kuwa ni tishio."
Inasemekana kuwa mwanamke anapomfanyia ubaya mwanamke mwenzie hufanya kwa kificho kutoka moyoni.
"Haya mapambano yanafanyika kisirisiri na katika visa vingi yanafanywa na wanawake hao hao wanaoimba na kusifu nguvu ya mtoto wa kike, harakati za mambo ya wanawake na wanawake kupendana,"anasema Kelly Valens, kupitia kitabu chake cha "The twisted sisterhood" cha mwaka 2010.
Mwanaume hasifiwi kula wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata kama anajing'ata ila ujumbe umekufikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] fanya uwezalo kutimiza adhma yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaha! Ulielewa vibaya[emoji23]Hata kama anajing'ata ila ujumbe umekufikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] fanya uwezalo kutimiza adhma yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipokula nguvu zitatoka wapi???Mwanaume hasifiwi kula wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda wewe ndiye uliyeelewa vibaya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Unakula kidogo kupoza njaa, si kula kwa kurundika Chakula tumboni mpaka ushindwe kufanya kazi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alipewa odds 1.25 kama sijakosea,, Ila nliweka ngume kumezaHongera, ndo ubane pumzi sasa[emoji23][emoji23]....Dakka 90 lolote laweza kutokea.
Kapewa odds ngapi??
Sent using Jamii Forums mobile app