[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16], aisee!Wazee wa kuweka mikeka jinsi United anavyoendelea kuwafanyaView attachment 841509
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]United ni shwaini sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Halftime
[emoji838] BHA 3 - 1 MUN [emoji837]
Murray[emoji460]️ Lukaku[emoji460]️
Duffy[emoji460]️
Groß
#GW2
Kuna dalili kuwa leo Numbisa atapata tabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha!Hivi kumbe leo Yanga anacheza? *...Yaani mechi za Yanga siku hizi zinafanywa siri kama Shuguli ya Kukeketa*
Halftime
[emoji838] BHA 3 - 1 MUN [emoji837]
Murray[emoji460]️ Lukaku[emoji460]️
Duffy[emoji460]️
Groß
#GW2
Kuna dalili kuwa leo Numbisa atapata tabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
...Jioni inaharibikaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], waweza pewa nondo kwenye mtihani ukashindwa kuitumia[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kanjibai akisikia habari zako hatakuacha salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahah!Hayo ni magoti ya maombi siyo ya kusalimia kwa heshima though....
Malcom X huyu. Safari yake hii ilimbadilisha mtazamo wake akarudi akiwa ameamua kuachana na siasa za kimapambano na kuamua kupambana kwa amani kama alivyokuwa akihimiza mwenzake Martin Luther King. Mabadiliko haya ya kimkakati, pamoja na umaarufu wake uliokuwa ukizidi kuongezeka, hayakuwafurahisha wakubwa wa Nation of Islam na hatimaye wakaamua kumuua. Ajabu alijua kuwa anawindwa kuuawa lakini hakuogopa. RIP
Wenzetu hao wanatafuta mahali pa kukimbilia siku mambo yakibumburuka katika haka kasayari ketu.
Mpira ushaisha kwani. Numbisa lete faino rizaltisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]United ni shwaini sana
Sent using Jamii Forums mobile app