Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Malcom X huyu. Safari yake hii ilimbadilisha mtazamo wake akarudi akiwa ameamua kuachana na siasa za kimapambano na kuamua kupambana kwa imani kama alivyokuwa akihimiza mwenzake Martin Luther King. Mabadiliko haya ya kimkakati, pamoja na umaarufu wake uliokuwa ukizidi kuongezeka, hayakuwafurahisha wakubwa wa Nation of Islam na hatimaye wakaamua kumuua. Ajabu alijua kuwa anawindwa kuuawa lakini hakuogopa. RIP
RIP. MWANAHARAKATI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1534696858060.jpg
 
Back
Top Bottom