Mwalimu wa walimu[emoji3] [emoji3] [emoji3] nitajifunza kubet kwa ajili yako[emoji3] [emoji3]
Thubutuu[emoji3] [emoji3] nipe nondo uone[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], waweza pewa nondo kwenye mtihani ukashindwa kuitumia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP. MWANAHARAKATIMalcom X huyu. Safari yake hii ilimbadilisha mtazamo wake akarudi akiwa ameamua kuachana na siasa za kimapambano na kuamua kupambana kwa imani kama alivyokuwa akihimiza mwenzake Martin Luther King. Mabadiliko haya ya kimkakati, pamoja na umaarufu wake uliokuwa ukizidi kuongezeka, hayakuwafurahisha wakubwa wa Nation of Islam na hatimaye wakaamua kumuua. Ajabu alijua kuwa anawindwa kuuawa lakini hakuogopa. RIP
[emoji23][emoji23][emoji23], utaishia kulowa viganja.Thubutuu[emoji3] [emoji3] nipe nondo uone[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu wa walimu[emoji3] [emoji3] [emoji3] nitajifunza kubet kwa ajili yako[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata huo mmbumburuko watauanzisha wao kisha watuachie majivu. Shwaini zaoWenzetu hao wanatafuta mahali pa kukimbilia siku mambo yakibumburuka katika haka kasayari ketu.
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu aisee Ila leo Kanjibai nae kafanya yake
Hata kama mmeshindwa siyo kwa mbetuo huo loh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
RIP Dada yetu Monica Magufuli...
Huwa watumia ipi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu aisee Ila leo Kanjibai nae kafanya yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaa wapi, "Sipigiwi nacheza, pakavu nateleza"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee!Aaaa wapi, "Sipigiwi nacheza, pakavu nateleza"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] kanjibai kakuotea leo mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu aisee Ila leo Kanjibai nae kafanya yake
Sent using Jamii Forums mobile app