[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata kama mmeshinda siyo kwa mbetuo huo loh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Faida ya jana imetambaa yote[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha[emoji3] [emoji3] kanjibai kakuotea leo mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu leo kilio,, Kanjibai karudisha heshima iliyopotea jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha[emoji3] [emoji3] kanjibai kakuotea leo mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapambano yanaendelea Pyaar
Ooooh! Kuna ile perfect 12 ya m-bet uwe waijaribu pia waweza ibuka millionea TUKASHANGAA[emoji23]
Ndiyo ubaya wa huo mchezo, siku ukibahatisha kesho yake unaweka mzigo mkubwa ili upate hela nyingi, hatimaye unapigika[emoji3] [emoji3]
Betting haitaki uwe na tamaa; vinginevyo Kanji atawanyoosheni.Ndiyo ubaya wa huo mchezo, siku ukibahatisha kesho yake unaweka mzigo mkubwa ili upate hela nyingi, hatimaye unapigika[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro. Nimerudi makusudi ili nikulaumu. Uliniaminisha kuwa akina Numbisa wameshinda kumbe porojo tu. Baadaye nimeona Numbisa yuko kimya anabetua midomo tu ukimsemesha ndo nikaamua kujiridhisha. Kumbe wamepigwa. Safi sana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe ulimuamini Ningendako?Bro. Nimerudi makusudi ili nikulaumu. Uliniaminisha kuwa akina Numbisa wameshinda kumbe porojo tu. Baadaye nimeona Numbisa yuko kimya anabetua midomo tu ukimsemesha ndo nikaamua kujiridhisha. Kumbe wamepigwa. Safi sana !!!
Full-time
[emoji838] BHA 3 - 2 MUN [emoji837]
Murray[emoji460]️ Lukaku[emoji460]️
Duffy[emoji460]️ Pogba[emoji460]️
Groß[emoji460]️
[emoji23][emoji23][emoji23], niliusoma nikajikuta tu nacheka mwenyewe.. bila shaka ni dume[emoji23][emoji23]