carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aiseh!Ukiufuatilia vizuri mwandiko wake hakika utagundua kitu.
Kuna uzi ulifukuliwa leo, watu wametajwa majina yao, matipo Id zao na nchi walipo kimasomo. Kuna mmoja alijaribu kupinga lakini katajiwa hadi wenzake na huwa wanaripoti kwa nani... Jamaa kaukimbia uzi.
Tutamalizana humu kwa kuaminiana...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23], sijataja kabila la mtu, lakini ujitani hatuna mbegu ya namna hiyo.....So unataka kusema alikuwa Msukuma? Watu wamemfukunyua weeee na ni Mjita pyua kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena mbele ya JPM kabisa. Jamaa kawaka analalamika kuwa yeye ni msomi wa SUA ya Dodoma na ana GPA ya 32. Wajita hoyeeeeee !!!
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23]Wajita wako juu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni kama mwenzake tu Dr.Shika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Ujitani hatuna vitu vya ajabuTena mbele ya JPM kabisa. Jamaa kawaka analalamika kuwa yeye ni msomi wa SUA ya Dodoma na ana GPA ya 32. Wajita hoyeeeeee !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juu kivipi? Wewe Wajita umewajulia wapi? We hangaika na mapopoma wako wa Kisukuma tu.Wajita wako juu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko?Ukiufuatilia vizuri mwandiko wake hakika utagundua kitu.
Kuna uzi ulifukuliwa leo, watu wametajwa majina yao, matipo Id zao na nchi walipo kimasomo. Kuna mmoja alijaribu kupinga lakini katajiwa hadi wenzake na huwa wanaripoti kwa nani... Jamaa kaukimbia uzi.
Tutamalizana humu kwa kuaminiana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Juu kivipi? Wewe Wajita umewajulia wapi? We hangaika na mapopoma wako wa Kisukuma tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juu kivipi? Wewe Wajita umewajulia wapi? We hangaika na mapopoma wako wa Kisukuma tu.
Yaani ukisikia Wasukuma wakitajwa katika muktadha huu wa kipopoma basi roho yako safiiii. Sijui tulikukosea nini jamani. Si useme angalau tuchangishane tukulipe yaishe? Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anaomba hapa afundishwe Kijita na Prof. Sijui walifikia wapi. Mtoto wa kishua Mjita kwa jina tu naona ndo anataka kujifunza
Ni Mjita !!![emoji23][emoji23][emoji23], sijataja kabila la mtu, lakini ujitani hatuna mbegu ya namna hiyo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkazo kabisa umeweka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], atakuwa alitungwa kwa bahati mbaya[emoji23][emoji23][emoji23], wasted .....Ni Mjita !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mtoto wa kishua,,ila kwa Prof atajifunza mengi awe mtulivu na msikivuAlikuwa anaomba hapa afundishwe Kijita ba Prof. Sijui walifikia wapi. Mtoto wa kishua Mjita kwa jina tu naona ndo anataka kujifunza