Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kweli brother,,napenda sana kulala aisee,, ila knachonfanya hv sio kwamba napenda ni maisha tu ndio yananfanya niwe hvBro; hata leo hulali? Siyo vizuri hivyo kwa afya yako...
Kama uko kwenye upambanaji ni sawa. Mi mwenyewe kuna wiki mbili zinakuja nitakuwa mahali usiku na mchana macho. Sijui itakuwaje. Mungu Akubariki broNi kweli brother,,napenda sana kulala aisee,, ila knachonfanya hv sio kwamba napenda ni maisha tu ndio yananfanya niwe hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana bro,, ngoja tupambane,,kuzaliwa mwanaume ni kupambana hadi mwsho,, sema hyo usiku na mchana kuwa macho dah.Kama uko kwenye upambanaji ni sawa. Mi mwenyewe kuna wiki mbili zinakuja nitakuwa mahali usiku na mchana macho. Sijui itakuwaje. Mungu Akubariki bro
Sina nguo chafu[emoji23][emoji23]..P'lz[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hili povu siyo la kufulia nguo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Hili povu siyo la kufulia nguo...
Lina kazi nyingine tofauti kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]