Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee kati ya mboga zote za unyamwezini nilikuwa napenda nswalu sana...Nsasa ilikuwa yanishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nswalu bhna,,, kuna hadithi flan hv huwa wanasimulia kuwa kuna Masai alikuwa anakula ugali na nswalu sasa akiwa anapeleka tonge mdomoni anacheki ile nswalu nayo inaelekea juu tu,, bhasi akawa akitaka kumeza lile tonge anatoa sime anakata ile mboga isimfate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka pia kipindi nimekwenda Bujora niliambiwa hivyo hivyo, kuwa vijana wa kiume huo ndio ulikuwa muda muafaka wa kuchagua jiko, walikuwa wakiangalia jitihada za mwanamke kupitia usagaji wa ulezi kwa jiwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahha!! Mwanzo ilinipa shida sana kuizoea... nilikuwa nikiila kuja kushiba shingo ishapata maumivu ya kutosha.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka pia kipindi nimekwenda Bujora niliambiwa hivyo hivyo, kuwa vijana wa kiume huo ndio ulikuwa muda muafaka wa kuchagua jiko, walikuwa wakiangalia jitihada za mwanamke kupitia usagaji wa ulezi kwa jiwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu kuna kilima na kuna hizo maanhe lwa wingi. Rows karibu 30. Huwa nazipalilia ili zisimezwe na ardhi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…