Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

F5A9C479-088D-4A2B-A1F4-2D6EAD0E00AC.jpeg
 
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MSOMI WA GPA YA 32 KUTOKA MUSOMA.
cc Mwl Magoti
cc Mwl Kuboja
cc Mwl Pascha Msomi
cc Mwlm Kasoga
cc Mwlm Mabagara
MAKAO MAKUU BUNDA -MARA

Baraza la wajita TANZANIA (BIWATA ), tunakanusha uvumi uliosambaa kuwa yule Ndugu aliyemwambia Mh. Raisi kuwa Ametoka Musoma na kwamba yeye ni Msomi wa shahada (degree) ya Vifaa Tiba na injinia na ana GPA ya 32 aliyoipata kutoka SUWA (DODOMA) ni MJITA. Baraza linatoa ufafanuzi kuwa siyo wote wanaotoka Musoma ni wajita, kadharika baraza lina julisha umma kuwa yule ndugu ndugu ni MSUKUMA, baraza linasisitiza ni MUSUKUMA. Ni kweri alitokea MUSOMA alikokuwa akitafuta maisha ambayo hata hivo hajafanikiwa kuyapata kutokana na ukweri kwamba elimu kubwa aliyonayo na Course aliyosoma haijapatiwa idara yake walau kwa sasa nchi nzima.
Pia baraza linaomba ieleweke kuwa WAJITA huwa hawapendi kusoma hadi degree kwani kalama yao ni Ualimu na Utendaji wa Vijji na hata inapotokea mjita akasoma hadi chuo kikuu basi ufaulu wake huwa wa kawaida kabisa wa GPA walau 3.5 had 4 tu na hatusomi masuala ya uinjinia wowote kwani ni mwiko wa kabila. Pia baraza limesikitishwa na kitendo cha watu kadhaa wenye husda kwa wajita kueneza uvumi huu, na kwamba WAJITA tumejipambanua kwa kujieleza vizuri mbele ya hadhara hata kama hajafika chuo au hata kama hajasoma kabisa hakuathiri uwezo wa kujieleza wa WAJITA.

IMETOLEWA NA MIMI KATIBU MWENEZI WA WAJITA TANZANIA.
Annania Max Mlugwa Bwire
Nakala kwa Masau Bwire (M. kiti wa Baraza)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili wa marehemu Frank Kapande ambao familia yake imeususa kwa siku 76, utaendelea kubaki mochwari ya Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya, baada ya Mahakama Hakimu Mkazi Mbeya kusema itatoa uamuzi wa mdogo Septemba 4.

Frank alifariki dunia Juni 4 na tangu wakati huo ndugu zake walisusa kuchukua mwili wakidai kuna utata kuhusu mazingira ya kifo chake, hivyo waliwasilisha ombi mahakamani wakiomba Mahakama itoe amri uchunguzi wa kina ufanyike wakilituhumu Jeshi la Polisi kuhusika.
 
Shauri hilo lilifunguliwa mahakamani Julai 30 na upande wa Jamhuri ukiongozwa na wakili Baraka Mgaya uliwasilisha pingamizi la awali ukidai maombi hayakufuata misingi ya kisheria.

Jamhuri ina hoja mbili za kupinga maombi hayo ikidai kiapo kilichowasilishwa kinaonyesha wakili wa walalamikaji, Moris Mwamwenda ndiye aliyeapa badala ya mwombaji Julius Kapange.

Hoja nyingine ni kiapo hicho kutoeleza bayana kimechukuliwa kutoka wapi, hivyo Jamhuri inaiomba Mahakama kutupilia mbali ombi hilo.
 
Waombaji wameshindwa kuwasilisha majibu ya hoja za pingamizi hilo kwa muda uliopangwa ambapo hadi jana hawakuwa wamewasilishwa.

Septemba 4, Mahakama imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi hilo ikiwa na maana mwili wa marehemu utakuwa unatimiza siku 90 tangu alipofariki dunia ukiwa haujazikwa.

Wakili wa Serikali, Mgaya alisema mahakamani jana kuwa, Agosti 15 alipokea barua kutoka kwa wakili Mwamwenda akiomba kuongezewa muda wa kujibu pingamizi, lakini hadi jana hakuwa amefanya hivyo, hakuwapo mahakamani na simu yake haikupatikana.
 
Aliiomba Mahakama iendelee kuandika uamuzi mdogo kwa kuwa Jamhuri ilishawasilisha hoja zake kwa maandishi.

Baada ya maelezo hayo, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite alimuuliza muombaji katika shauri hilo, Kapange ambaye ni baba mkubwa na marehemu Frank alipo wakili wake. Kapange alisema hana taarifa za kutoonekana kwa wakili huyo.

Hakimu Mteite alimweleza mwombaji kwamba Julai 23, upande wa Jamhuri uliwasilisha mahakamani pingamizi dhidi ya maombi yake na walitakiwa kuyawasilisha kwa maandishi, jambo walilolitekeleza Julai 30.
 
Alimweleza Kapange kuwa wakili wake alitakiwa kujibu hoja hizo ndani ya siku 14, lakini hadi jana asubuhi hakuwa amefanya hivyo.

“Ninyi na wakili wenu hamjawasilisha hoja zenu ili mahakama iweze kutoa uamuzi mdogo, wala wakili mwenyewe hayupo mahakamani na hajatoa taarifa zozote iwe kwa mahakama hii au kwa wakili mwenzake,” alisema Hakimu Mteite. “Sasa kama anavyosema wakili wa Serikali hapa kwamba hampo serious (makini) na suala hili, naungana naye maana kama ni muda wa nyongeza aliouomba alipewa.”

Alisema suala la kutofika kwa wakili wa utetezi si kosa la Jamhuri, bali ni la wakili mwenyewe, hivyo atatoa uamuzi mdogo wa hoja za upande wa Jamhuri Septemba 4.
 
Shirika lisilo la kiserikali (NGO) ni shirika la kijamii lenye lengo la kutoa huduma za kijamii kwa kushirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo. Lengo kuu ni kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii. Ifahamike kuwa mashirika haya sio ya kibiashara, hivyo hayaanzishwi kwa lengo la kujipatia fedha au faida yoyote zaidi ya kuisaidia jamii husika. Michango inayotolewa na wadau ni lazima ipelekwe katika jamii husika kutatua kero na changamoto mbalimbali. Ili shirika liwe na nguvu kisheria ni lazima lisajiliwe.
 
Kwa kawaida wazo la kuanzisha Shirika linaweza kutoka kwa mtu mmoja au kikundi cha watu ambao wanakuwa na maono katika kusaidia na kutatua changamoto walizoziona katika jamii inayowazunguka, baadaye hushirikisha na wengine ambapo kama watakuwa tayari kusaidia kutekeleza maono hayo ndipo huunda kikundi chenye lengo moja na mtazamo mmoja ili kiweze kuhamisha maono kuwa katika mtazamo halisi.
 
Back
Top Bottom