Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni msukuma, aliingilia fani za wahaya zikamkataa, hahahahah
Naona Mjita umelikomalia hili swala duh! Haya tuseme ni Msukuma basi yaishe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Jamaa kawaaibisha sana Wajita dah! GPA ya 32 ya udaktari wa Engineering kutoka SUA ya Dodoma. Jizazi. Ai kanti stopu lafingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MIKUNJO katika ngozi ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake wengi.
Tofauti na mikunjo ya uzee, mikunjo hii hutokana na kuchoka kwa ngozi kunakosababishwa na mambo mablimbali.
Katika kupambana na tatizo hilo, wadau wa urembo wa asili wamegundua njia mbalimbali zinazoweza kutumika kutatua tatizo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…