[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimetania tuu mkuu ......
Aaaaameeeeen [emoji16][emoji16][emoji16]Babaake Msukuma?
Kama ni kweli Msukuma wa watu alibambikiwa mimba akalea mwana si wake. Wasukuma hawajisifii kusoma sana na kupenda kuajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa shemeji zangu hawajifichagihttps://www.instagram.com/p/BmgDfoKgxhs/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=79149wlvouhs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda ile ile tabia tofauti. Wasukuma, Wahaya, Wajita. Pambaneni lakini msiumizane maana nyi ndugu. Msipokutana kwenye jiji lenu la Mwanza mtakutana ziwaniProf na kundi lako la Kijita; and others. Take that. Hangaikeni na Mjita wenu huko salama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], apambane na hali yake...Alinywe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28] [emoji28] sana yaani huyu ndugu wa GPA ya 32 atawapa tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu SYB, yule bwana ni msukuma mwenzenu.Msimkane 😀😀😀
Atakuwa Muhaya huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu SYB, yule bwana ni msukuma mwenzenu.Msimkane 😀😀😀