Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu si msukuma bhana,sema wajita ndo wanatumia nguvu nyingi kumkana nduguyao maana wametoa hadi tamko la page8[emoji23][emoji23][emoji23]
Pyaar[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa mara ya kwanza in a loooooong loooooong time umenifurahisha. Keep it up [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
IMG_20180821_100613_609.jpg
 
*Wanawake muwe waelewa*
*Mwanaume akikwambia "kichwa kinamuuma" usiwe mwepesi kujibu "Baby kunywa panadol"*

Muulize kwanza "kichwa kip Baby? Simnajuwa wanaume tuna vichwa viwili na kila kimoja kina dawa yake kinapouma[emoji853][emoji853][emoji853]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wasukuma?

Jamaa baba yake msukuma na mama yake mjita.Hapo mnamkanaje kuwa sio msukuma mwenzenu?😀😀😀😀

cc: carbamazepine
Babaake Msukuma?
Kama ni kweli Msukuma wa watu alibambikiwa mimba akalea mwana si wake. Wasukuma hawajisifii kusoma sana na kupenda kuajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea

Matthew Miazga alizimia mazoezini Juni 9, 2018, wakati kiungo Cesc Fabregas (goti) tangu Agosti 11, 2018. Mwingine ni Marco van Ginkel, (uvungu wa goti) tangu Juni 26, 2018 na kurudi ni Machi mwakani.
 
Crystal Palace

Chung-Yong Lee, aliumia kifundo cha mguu Juni Mosi 2018 haijulikani atarejea lini wakati Jonathan Williams, aliumia nyama za paja Agosti 10, 2018 na anatarajiwa kurejea mwishoni mwa mwezi huu hukua Connor Wickham aliyeumia nyama za paja Agosti 10, 2018 atarajea mwishoni mwa mwezi.
 
Everton

Beni Baningime aliumia kifundo cha mguu, Julai 14, 2018 na, Yannick Bolasie, (tumbo) tangu Julai 14, 2018 ataanza mazoezi hivi karibuni wakati Cuco Martina naye tumbo tangu Julai 20, 2018 na atarejea muda wowote. Wengine ni Richarlison de Andrade, (nyonga) tangu Agosti 11, 2018, Andre Gomes (msuli) aliumia Julai 28, 2018 anatarajiwa kurejea hivi karibuni.
 
Liverpool

Ragnar Klavan (msuli) tangu Agosti 4, 2018 na anatarajiwa kurejea hivi karibuni, Dejan Lovren nyama za paja aliumia Julai 15, 2018 atarejea Septemba, mwaka huu.
 
Back
Top Bottom