Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23]niko kwenye mpango wa kuacha kabisa kuwatania,sijui nitaweza[emoji19][emoji19][emoji19]Wajita nao kumbe hovyo tu aisee..
Ila na wewe upunguze kuwaandama Wasukuma. Umewaaandama mpaka shogako jana ikabidi awakane. Kazi kweli kweli.
View attachment 843401
Hivi hawa mapopoma wanajua kuwa watamaliza muda wao na wataondoka madarakani?
Ila ombi langu bado liko pale pale. Uolewe na lisukuma limoja lishamba kabisa kabisa liwe lipimbi lako halafu likutese tese huko mpaka uje uombe msamaha hapa laivu. Unaniudhigi sana basi tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23]niko kwenye mpango wa kuacha kabisa kuwatania,sijui nitaweza[emoji19][emoji19][emoji19]
Ila nitakosa mtu wa kumtania humu
Sasa ina maana kila mkoa uwe na sheria zake au inakuwaje? Tugeuze basi tuwe na majimbo yanayojitegemea. Kiki sawa lakini angalau ziwe zimelengwa kuwasaidia wananchiHii awamu ni awamu ya matamko ya kipuuzi,wavumilie tu
Ila ombi langu bado liko pale pale. Uolewe na lisukuma limoja lishamba kabisa kabisa liwe lipimbi lako halafu likutese tese huko mpaka uje uombe msamaha hapa laivu. Unaniudhigi sana basi tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Kazaramo ketu. Avatar hiyo chukua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Registered Nurse...Feel sick already
View attachment 843419