Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee myoyambendi, mzee wa pipi, jirani usiye na hiyana, mzee wa kupeana, mzee wa kumung'unya na usiye penda kunyimana. Amka mkuu, jikongoje japo kidogo tujue unaendeleaje[emoji120]

Majirani wanakusubiri, kilete tu, kisije kikaoza.
Ugua pole kamanda[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru wote...nipo jirani. Naendelea vizuri
 
Umeacha ligi umepoteza na personality yako yaani hata hueleweki. Kama hiyo haitoshi na ubageshi ukaukana. Miaka yote hii jamani. Nimeumia sana ila haina neno [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro bana unajua kuna saa nataka kufuata nyayo za ruta(kuadimika JF)so nafuta pole pole tule tutabia pendwa nisahaulikepo,maisha haya daah.

Ila natumain sitaweza,JF tamu sana
 
Back
Top Bottom