Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WWE SUNIVERSAL CHAMPION
FB_IMG_1534876271453.jpg
 
~Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje{yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama mwanamke au mwanaume kabla ya kuingia naye kwenye ndoa.
 
wanaume yamegawanyika sehemu tatu
1.Uume mkubwa[TEMBO]

2.Uume wa kati[FARASI]

3.Uume mdogo[KONDOO]

~Kila mwanamke ana mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa uume ingawa inategemea na uwezo wa kufanya kazi,wengi hudhani uume mkubwa au mnene ndiyo madhubuti kuliko mdogo,wengine wao hudhani kuwa nyembamba ndefu ndiyo madhubuti zaidi,lakini utendaji kazi ni suala linalojitegemea,lakini ile inayomuingia sawasawa na kugusa kona zote za mwanamke anayetaka kukunwa ndiyo yenye kufaa na kikubwa ni kujua tuu mbinu gani zitakazomfurahisha mwenzio.
 
NAMAANISHA HIVI
~Katika uso na miguu kuna siri kubwa sana katika kujua mengi katika hali za wanaadamu yaani namaanisha kujua maumbile yake ya sehemu za siri ukubwa na udogo wa uke na uume,kujua kama anayo bikra au laa au hata kujua kama anaweza utundu awapo kitandani au atakuwa ni kama gogo.
 
Back
Top Bottom