Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee Ruta mbona yupo sana tu? Sema Pengine huku ndo haji. Ama kakwama Nairobi kama wanavyodai?

Jambo moja tu: Ukitaka kuondoka lazima uage. Tumekuwa kama ndugu na pamoja na mapungufu yetu kama binadamu, tusikubali kupoteza urafiki na undugu huu tulioujenga.
View attachment 843530
Kumbe yupo basi likes zimemtosha ndo maana kapumzika kuja huku.

JF tamu kuondoka ngumu. Kuaga muhimu pia
 
1.UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI[Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi]

2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU[Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu]

3.UKE MNENE[Huyu yeye atapenda uume mkuubwa ndio anahisi utamfikisha]

~Katika aina hizo 3 ndani yake zimegawanyika katika maumbile tofauti tofauti,yaani nyingine ipo kwa juu kidogo,nyingine kwa chini kidogo,nyingine katikati,ipo iliotuna,ipo iliobanda n.k

Tuseme tuu ukweli mara nyingi inapokuwa mume na mke ni tofauti wengi hujikuta wanatafuta njia mbadala
Waaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

Ila kila kinu na mtwangio wake[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
NO.1
SIGARA NA UGORO
~Uvutaji sigara na ugoro hivi ni vitu hatari sana kwa afya zetu wanaadamu,kwani vitu hivi vina nafasi kubwa ya kuweza kukusababishia magonjwa ya kansa,moyo na magonjwa mengine mengi
 
NO.2
UTUMIAJI ULIOKITHIRI WA DAWA ZA KEMIKALI
~Utumiaji uliokithiri wa madawa ya kemikali pia unaweza kusababisha madhara katika mwili wa binadamu,ni nzuri na zinaponesha lakini zina kemikali kali,kuna wengine akijiskia tuu uchovu lazima ameze dawa za maumivu,utumiaji ukikithiri hupelekea hata mtu kuumwa mara kwa mara.
 
NO.3
KUTUMIA MAFUTA MENGI KWENYE CHAKULA
~Watu wanashauriwa kuepuka kutumia mafuta mengi kwenye vyakula kwa sababu mafuta mengi huleta magonjwa mbalimbali kwenye mwili wa mwanadamu
 
Back
Top Bottom