Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msifie.
Sifa zinawafanya wanawake wajione wa pekee, wanawake wote wanapenda kusifiwa na sifa inamfanya ajisikie yeye ni mzuri na anavutia ambacho ni kitu kizuri sana msichana anachoweza kujisikia na hukifurahia kwa hali ya juu ila msifie pale panapo haitajika kusifiwa sio kila muda, akizoea sifa unazompa atakuona huna jipya na mvuto aliokua nao kwako hapo mwanzo ndo utaufanya upungue kwa hali ya juu, usitoe toe sifa kijinga, pangilia sifa zako na utaona matokeo mazuri.
 
Kuwa mbunifu na usitabilike.
Kuwa tofauti na jaribu kuwa na kitu kipya kila wakati na utafanya mvuto wake kwa kwako kuripuka kama mlima wa volikano, ubunifu unafanya maongezi kuwa matamu zaidi, kama akikuuliza siku yako imeendaje,

Jibu >> "Siku yangu ilikua tata, watu huwa hawaishi kunishangaza".

Hii itampa hamu zaidi ya kutaka kujua na kufanya maongezi yazidi kupendeza zaidi.
 
Usitume meseji nyingi kwa mkupuo.
Ukituma meseji moja subiri majibu, unapoteza mvuto unapotuma meseji mfululizo na kuonekana unashida naye sana na kupunguza ile hali yake ya mvuto kwako, kuwa mwanaume kiongozi na tuma meseji moja, subiri jibu ndo utume nyingine.
 
Fanya utani.
Utani unaleta ukaribu na unafanya mzoeane kwa haraka zaidi, ila fanya utani ukiona utani unanafasi, usianze kwa kumtania kwanza jua yupo katika hali gani, kama ni hali ya kiucheshi unaweza weka utani kidogo kukoleza mambo vizuri maana wanawake wanapenda sana utani.
 
Mkaribishe mahali ulipo ila usimwalike.
Kama upo unafanya kitu unaweza mwambia kile unachofanya na inakuwa vizuri zaidi usimwalike, hii itamuongezea hali ya mshangao kwako, na atashindwa kukuelewa we ni mtu wa aina gani na itamfanya awe mdadisi zaidi ambao utasababisha mvuto wake kuongezeka zaidi juu yako na kupata hamu zaidi ya kukujua.

>> Nipo ziwani naangalia jua linavyozama, hali ya hewa imependeza kweli na anga limekua la manjano, natamani ungekuwepo!, baadae nitakutumia ujumbe nikifika nyumbani.

Mtamanishe mazingira uliyopo ila usimwambie njoo na kuonyesha hitaji la wewe kumtaka awepo mahali hapo, hii inamuongezea husuda ya kutaka kuwa sehemu ya maisha yako.
 
Usitume meseji ya kumkweza, jaribu kuwa tofauti na wanaume wengine.
Kila mwanaume huanza kwa kumkweza msichana, mara nyingi huandika "Jana nilifurahi sana kuonana na wewe, namshukuru mungu kwa kunikutanisha na wewe, kwa ukweli ulipendeza sana sijawahi kuona katika maisha yangu toka nizaliwe", maneno kama haya yanakupotezea nafasi ya kuwa naye na yanafanya kukushusha hadhi yako, yanampunguzia msichana mvuto kwako na kukuona wewe ni wa kawaida tu na wala si chochote wala lolote kama wanaume wengine aliowakataa, kujishusha hadhi kunapoteza mvuto wa maneno unayoyaongea, kuna poteza ile heshima aliokuwa amekupa awali, kwa sababu unakua umejitoa kwenye hali yako uliokuwa umepewa ya umaalumu flani na kujiweka kuwa mtu wa kawaida, umaalumu ndo unakufanya umpate msichana na sio utu wa kawaida, tunza hadhi yako na utamvutia kama sumaku.
Naona umeamua leo[emoji23][emoji23][emoji23]
@andaeitini njoeni mpate darsa hapa
 
Wahi kuaga.
Ukiona maongezi yamenoga sana wahi kuaga na hakikisha anaeanza kumuaga mwenzie ni wewe, hii itafanya awe na hamasa zaidi na wewe na utamzidishia hamu zaidi ya kutaka kuwa anaongea na wewe na wakati wa kuaga mpe ahadi ya kuchati nae wakati mwingine baadae na zingatia masharti
 
Sawa ila hizo like msinitumie kwa israf [emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1534479154928.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa huyu wa samaki haeleweki aaah wengine tumeshajiandaa kula sato wa kukaanga,ndimu pemben,chumvi na tu chips kidogo khaa mengine utalipia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua leo[emoji23][emoji23][emoji23]
@andaeitini njoeni mpate darsa hapa
 
Katika hali ya kushangaza gari la Ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta aina ya Nissan Patroll V8 black limekamatwa mjini Bomang'ombe wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa RPC Kilimanjaro watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.

Source: azam TV

=======

Jeshi la polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Moshi kwa kukutwa na gari inayosadikiwa kumilikiwa na Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambayo inasadikiwa kuibwa nchini Kenya tarehe 19 Agosti.

Gari aina ya Nissan V8 yenye Namba za Usajili KCP 184 RV. Lakini ilikuwa imebandikwa T954 DEQ ilikamatwa ikiwa njiani ikielekea Kilimanjaro ikitokea nchini Kenya. Imekamatwa kwenye belia ya Msomali Boma ng'ombe. Tarehe 19 kulikuwa na taarifa ya gari aina ya V8 kuibiwa Kenya na gari ndo hii.
IMG-20180821-WA0012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu,na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo.Naamini umepata picha.
Hahahahaha! Hivi eeeh?
Kumbe ndo maana vidole huwa vinashupaliwa humu ndani!!![emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom