Amon Bahati
Member
- Jul 31, 2018
- 58
- 46
Sio parefu,enzi zetu hizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani napenda pilipili siwezi kula chakula bila hiyo kitu kwakweliNO.8
USIPENDE KUTUMIA PILIPILI KWA WINGI SANA KWENYE CHAKULA AU KWA NAMNA YOYOTE ILE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tungeaganiaga Gold Crest ingependeza zaidi bageshi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeWaaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ila kila kinu na mtwangio wake[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Duh!wanaume yamegawanyika sehemu tatu
1.Uume mkubwa[TEMBO]
2.Uume wa kati[FARASI]
3.Uume mdogo[KONDOO]
~Kila mwanamke ana mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa uume ingawa inategemea na uwezo wa kufanya kazi,wengi hudhani uume mkubwa au mnene ndiyo madhubuti kuliko mdogo,wengine wao hudhani kuwa nyembamba ndefu ndiyo madhubuti zaidi,lakini utendaji kazi ni suala linalojitegemea,lakini ile inayomuingia sawasawa na kugusa kona zote za mwanamke anayetaka kukunwa ndiyo yenye kufaa na kikubwa ni kujua tuu mbinu gani zitakazomfurahisha mwenzio.
Kunywa soda ntalipaWanaume wengi huwa na hofu na kushindwa kutambua ni muda gani hasa ndo unaopaswa kuwa mwafaka kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa msichana waliovutika naye, maana huona iwapo wakiwahi kuutuma wataonekana kama malimbukeni na iwapo wakichelewa kuutuma itaonyesha kama hawakuvutiwa na huyo msichana hapo mwanzo na hivyo kumfanya msichana apate uwamuzi mbadala wa kuwatoa kichwani maana kwa muda waliochelewa kunaufanya mvuto wa msichana kupungua.