Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Manchester United Alexis Sanchez, amefuta ujumbe katika mitandao ya kijamii iliyokuwa ikipigia upatu kampuni yake ya kuuza nguo wakati mashabiki wakishutumu wakati aliochagua kufanya hivyo baada ya kufungwa na Brighton katika ligi ya England. (Mail)
 
Aliyekuwa mchezaji wa kiungo cha mbele wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Henry, mwenye miaka 41, ana hamu ya kuchukuwa usukani wa timu ya Ufaransa Bordeaux, anasema aliyekuwa meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger. (Corse Matin - in French)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…