carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kama ulihusika/ unahusika kwenye gharama ya hizo nywele kwanini nisichezee dadake!!!!? Nitazivuruga tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ana wazimu huyo, ml 500 unanunua nini?
Eid mubaraka
Si wanaonja mapema sana
Kwani anaoa urembo???Kakake hujamuona alivyo mrembo?[emoji23][emoji23]
Tatizo alete usanii kwenye jumba la sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],+ soksi mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kila kitu wao wanaigiza tu hakuna uhalisia maigizo mengiHii ndo shida kubwa ya wasanii wetu.
Wengi wanaishi maisha ambayo si yao,drama nyingi mwisho wa siku wakipata shida wanashindwa saidika.
Wamejawa dharau na majigambo
Haya matembele nayo yalishanishinda.Matembele huwa sionji kakake,yale huwa nakula kabisa[emoji23][emoji23]ila matembele matam jamani
Kwani anaoa urembo???
Unatoa mil.500 ndani anakuwa pasua kichwa....Kimeo...Mil.500 inakunyima usingizi + AMANI...Shwainiii kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mkuu wa kaya angenionea huruma tu kwakweli,yeye ale kuku mzima mie firigisi tu naridhika
Hawa ni kuwahurumia tuYaani kila kitu wao wanaigiza tu hakuna uhalisia maigizo mengi
Doh!Mie mchicha hata harufu sipendi.
Yaani matembele naweza kula kutwa mara 3 na sikinai
Keshapigwa huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Andaeitin ningendako kamata carba men[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hizo zote nilishawahi kumiliki[emoji23][emoji23][emoji23]pepa ya class7 nilimiliki iphone acha kabisa[emoji23][emoji23]
Hatari tupu....Kuna watu ni ******* material tu[emoji23][emoji23][emoji23]....Hawana u wife material.Hawa wasanii wetu wanaishi maisha ya ndoto sana,ndio maana wengi wanaishia kuchezewa tu.
Huyo unaoa leo kesho unatoa talaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Keshapigwa huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]