Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mtu wa amani mimi. Sipendagi makelele kabisaa. Na kwa jinsi alivyokuwa amewaka yule si ajabu angenijazia watu mtaani aisee. Sikuwa na ujanja kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahahahaha, duuu, pole aseeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
"Hasa hizi za kichwani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie watu nyie
Kwahiyo aachane na za kichwani achezee wa wap??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nimekuvutia picha nimecheka sana hapa.

Huyu dada alikukumbuka sana, itakua kila akilivaa wigi au akigusa nywele zake anakukumbuka.Nadhani hata yeye hatakaa ampe mwanaume kichwa chake afumuliwe.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…