Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona wako wengi dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kitendo chake cha kutanguliza pesa binafsi kimenikata stim. Mwambieni aende Jolie Club, atapiga pesa tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jolie Club bila msambwanda dau halifiki zaidi ya buku. Hata walevi wako makini sana. Usimdanganye [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahahaha, duuu, pole aseeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Fuata ushauri wa dadako. Kamwe usichezee nywele za mwanamke (hizi za kichwani) no matter what unless kama una laki kadhaa za kununulia wigi. Halafu wakiwa na hasira hawachagui mawigi ya bei rahisi aisee. Utang'ang'anizwa ulipie hata wigi la milioni ukizubaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi mwenyewe kajishtukia,kanifanya akili ihame toka kwenye mfumuano hadi kwenye "mfumuano"
Ila shemeji zangu nyie ni changamoto kwakweli.
Usiniambie ulikuwa ushaanza kuvutia picha ya vidole gumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kufumua nywele za binti wa Kijita. Nasikia wana nywele laini nyeusi na zenye mvuto zinukiazo vyema; na tena wanajua sana kuzitunza. Niko tayari kuzifumua ukitaka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
"Mfumuano" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu hazina masharti mpaka kupelekea kunyimana "konokono"
Fumua ufumuavyo, vyovyote uwezavyo, mfumuo wowote, punyua upunyuavyo....Sioni tatizo kuanza kuotesha upya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Hii KERATIN tu baba sio roho kwamba itatoka[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…