myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Form four sugu,kijana wetu mtukutu[emoji23] [emoji23]Yani wewe, Andjul huwa mnapata shida sana na mimi. Hasa inapokuja swala la mimi kuwa shemeji wa SYB. Mimi shule bado na komaa na biashara yangu ya Kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu toshaTafakari.
Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganishwa na Ukubwa wa Mungu"
Endelea kuwa karibu na Mungu, utazidi KUHISI uwepo na ukuu wake katika mahitaji yako ya hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe, Andjul huwa mnapata shida sana na mimi. Hasa inapokuja swala la mimi kuwa shemeji wa SYB. Mimi shule bado na komaa na biashara yangu ya Kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 844714
[emoji124][emoji124][emoji124]
Form four sugu,kijana wetu mtukutu[emoji23] [emoji23]
Habari ya wewe mkuu[emoji120]
Ooowwwww[emoji4][emoji4][emoji4]
Thank you[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani umekimbia shule ukafuge kuku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ungesubiri umalize hata darasa la saba B basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani siku moja uonane nae halafu usiwe unajua unae muangushia "shikamoo" ya uoga ni "uniq mtukutu"... Ntacheka saaaana
Niaje mama? Kwema huko(sio huko,na maaanisha mahali ulipo),mimi nipo vizuri, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.Shemeji yangu mpendwa [emoji119][emoji119]
Niaje mama? Kwema huko(sio huko,na maaanisha mahali ulipo),mimi nipo vizuri, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
View attachment 844714
[emoji124][emoji124][emoji124]
Ooowwwww[emoji4][emoji4][emoji4]
Thank you[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji124] [emoji124] Kweli penzi halifi,maisha ya viwaini na vimaua ua yamerudi!! Mungu aendelee kuwajenga, mniletee kijukuu cha kike...You’re welcome! [emoji847]