Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Niaje mama? Kwema huko(sio huko,na maaanisha mahali ulipo),mimi nipo vizuri, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] Kweli penzi halifi,maisha ya viwaini na vimaua ua yamerudi!! Mungu aendelee kuwajenga, mniletee kijukuu cha kike...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani humu ndani tunavyotania babu zetu jamani,yaani kila mtu akija humu unahisi ni wa rika lako.
Ila wahenga wote mjue sitaamkia mtu shikamoo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huo ndo ule wakati wa kuamkia huku unacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani utaamkia bila kusukumwa... Wengine tumezeeka sura zimetushuka kabisa
Pole sana, bado nipo huku.Huku kwema kabisa nashukuru kwakweli,ila kama nimeanza kupachoka[emoji19][emoji19]
Umerudi ama bado?
Mkuu habari ya asubuhi? Kumekucha tumshukuru Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]... Daa, umenifanya nicheke alfajiri yote hii! [emoji15]
Zimebaki siku chache kufikia tarehe,sema familia nayo imekukumbuka wakikaza utarudi tu hata kishingo upande.Pole sana, bado nipo huku.
Kuna kitu natamani nikifanye tarehe 9/9 kule kijijini lakini mdogo wako ananisumbua nirudi, hasa mama yako. Wakikomaa nitaondoka Jumatano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni pale unatukuta tulio soma somo la siasa tumekaa pamoja...Huo ndo ule wakati wa kuamkia huku unacheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wazima kabisa. Bi mdashi anatimiza miaka 20,nataka japo nikamuone siku hiyoAsante[emoji120]
Zimebaki siku chache kufikia tarehe,sema familia nayo imekukumbuka wakikaza utarudi tu hata kishingo upande.
Ila naimani ni wazima kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza kufa kwa kicheko walah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni pale unatukuta tulio soma somo la siasa tumekaa pamoja...
Ukiangalia kutoka kulia kwenda kushoto unaniona mimi, wala hautacheka sana maana umenizoea, mara paaap !! uniq, anafuatia Yegomasika, pembeni kuna ho chi minh, haujamaliza
kuamkia JIRANI huyoo wameongozana na moudgulf.... Uwiiii kwa mbaaali MKOROMIJE anatukimbilia amechelewa alikuwa na shughuli ya "kuwafumua" Wajita (sijui ndio anaiitaga sirii damu?!) wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muwe mna tuheshimu, tumewaacha mbali sana.
[emoji124] [emoji124] Shwaainii zenu
Miaka inaenda cha ajabu maumivu yako palepale[emoji120][emoji120][emoji120][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Ni wazima kabisa. Bi mdashi anatimiza miaka 20,nataka japo nikamuone siku hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza kufa kwa kicheko walah!
Wakati mwingine ndiyo raha ya kutokujuana humu,mnataniana bila kuvuka mipaka maisha na stress zake zinapungua,tunakwazana na kuombana msamaha siku zinaenda.
Mungu awabariki nyote[emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa ndo yamekuwa mapya huwezi amini. Libaba lizima na minywele yangu ya rangi nyeupe huku nani hii lakini bado namwaga chozi...Miaka inaenda cha ajabu maumivu yako palepale[emoji120][emoji120][emoji120][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]