Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
hahahahahaaaa wazee wa like,duuh ahsante mkuu naona watu wamemiminika kweli kumbe hakuna asiyependa kizuri eeeeeh baadaye utuwekee na link ya wazee wa ku dislike
 
Sasa ndo yamekuwa mapya huwezi amini. Libaba lizima na minywele yangu ya rangi nyeupe huku nani hii lakini bado namwaga chozi...
Nimemuona sehemu pimbi wako Kichwa Kichafu.
Yale maumivu hayaishagi sema tu Mungu hutusahaulisha kwa muda.

Pimbi siku hizi sijui kapewa u DC maana kawa adimu kweli
Kichwa Kichafu
 
Umenikumbusha mkasa wa jamaa mmoja alikua amelazwa wodi ya watu wawili,usiku mwenzie akafariki weeee jamaa hata hapajakucha akijipa ruhusa mwenyewe,alikua anaumwa balaa hana nguvu mbona alipona ghafla na nguvu tele kifo kinaogopwa sana
Watu wanaona israel akimaliza hao wengine anahamia kwao[emoji23][emoji23]kifo kitu kingine wewe
 
Mume: mama Cons
Mke : abeee
Mume: Cons amerudishwa kwa ajili ya ada
Mke : itakuwaje sasa?
Mume: kafanye maarifa ofisini kwako
Mke : sawa,nitakujulisha nimefikia wapi...

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji382] [emoji381] Shwaaini zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…