Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimebakia ku like tu. Ntafanyaje sasa. Tena nikajitutumua nikaanza kumuweka cc kama signature yangu lakini bado ananiona si kitu si chochote.


carbamazepine
Carba ni dozi ukikimbia ya sindano ya vidonge inakuhusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa imara mkuu. Mie shabiki hapa yaan kama vile nacheki EPL full burudani
 
Numby unanini lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio nina majonzi uje?
Carba ni dozi ukikimbia ya sindano ya vidonge inakuhusuemoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa imara mkuu. Mie shabiki hapa yaan kama vile nacheki EPL full burudani
 
Kale ka safari ndo kameishia hapa?unajua nishaaga kabisa?

Unajuafika siwezi kukuacha asilani ila naumia tu kimya kimya. Tena nimeshaandika uzi nilikua najiandaa niupandishe ndio kukutana na hii kadhia.

Safari ipo itabidi tutimize wajibu tu. Tunaanzaje kuahirisha wakati tayari nilishawapanga watu wanatusubiria?


carbamazepine
 
Back
Top Bottom