Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajuafika siwezi kukuacha asilani ila naumia tu kimya kimya. Tena nimeshaandika uzi nilikua najiandaa niupandishe ndio kukutana na hii kadhia.

Safari ipo itabidi tutimize wajibu tu. Tunaanzaje kuahirisha wakati tayari nilishawapanga watu wanatusubiria?


carbamazepine
Na mie ndo sijui kuachika nang'ang'ania kuliko hata ruba.

Yaani unanipeleka kutimiza wajibu tena??[emoji24][emoji24][emoji24]mbona hivyo sam lakini?naumia ujue??
 
Mfumuaji keshanipachika kabila duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kaisiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaisiki,naona lile ulilolitaja either hakuona ama hakuelewa.
Sema humu ndani kitu ukikataa ndo unashikiliwa hadi ukubali[emoji23][emoji23]
 
Na mie ndo sijui kuachika nang'ang'ania kuliko hata ruba.

Yaani unanipeleka kutimiza wajibu tena??[emoji24][emoji24][emoji24]mbona hivyo sam lakini?naumia ujue??


Tena hatusafiri pamoja, tutakutana wakati tunakaribia nyumbani. Naweza nikaishia kukutwanga vichwa njiani ikawa tafrani.


carbamazepine
 
Ndo nilichokuwa naongea na andjul hapa hiyo siku unaamkia huku unacheka maana unakutana na babu zako wazee wa kuzaliwa 1789[emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku muonane ujikute unakimbia sijui utajichekaje
 
Back
Top Bottom