carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Zimevurugika vibaya mno,bro leo atakua busy sana duh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku muonane ujikute unakimbia sijui utajichekaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja aje
Ila poti bhana ukimtingisha kidogo tu anakimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Cole William yupo?
Uzi mzima poti anataniwa balaa kha kazidiwa hata na andaeitin wetu mashuhuri[emoji23][emoji23][emoji23], kwa hali hii ninayoiona leo humu lazima avurugike kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegomasika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uoga wake unamponza...Ona sasa ashapangiwa foleni[emoji23][emoji23]Uzi mzima poti anataniwa balaa kha kazidiwa hata na andaeitin wetu mashuhuri
[emoji124][emoji124]mmmh swali jepesi ila sasa gumu kujibika kisa sijui
Man u
R madrid
CR7 alipo nipo
Samaritan
Na mie ndo sijui kuachika nang'ang'ania kuliko hata ruba.Unajuafika siwezi kukuacha asilani ila naumia tu kimya kimya. Tena nimeshaandika uzi nilikua najiandaa niupandishe ndio kukutana na hii kadhia.
Safari ipo itabidi tutimize wajibu tu. Tunaanzaje kuahirisha wakati tayari nilishawapanga watu wanatusubiria?
carbamazepine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora haujaweka carbamazepine
Teeena ndani ya home sweet home daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uoga wake unamponza...Ona sasa ashapangiwa foleni[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaisiki,naona lile ulilolitaja either hakuona ama hakuelewa.Mfumuaji keshanipachika kabila duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kaisiki
Na mie ndo sijui kuachika nang'ang'ania kuliko hata ruba.
Yaani unanipeleka kutimiza wajibu tena??[emoji24][emoji24][emoji24]mbona hivyo sam lakini?naumia ujue??
Yaani sipati picha akija hapa akutane na kina mfumuaji na Mzee wa mwakaleli atachezea shuaini za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23], kwa hali hii ninayoiona leo humu lazima avurugike kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole yakeTeeena ndani ya home sweet home daaah
Majonzi ya nini shosti,maana naona jamaa anatirirka mistari mitamu asali cha mtoto
Cole keshasahau zake yupo kwa sweetlee saiv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi Cole William yupo?
Uyego wake Yego una mponza sana, sijui atakua lini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi mzima poti anataniwa balaa kha kazidiwa hata na andaeitin wetu mashuhuri
Shuainiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegomasika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku muonane ujikute unakimbia sijui utajichekaje