Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1535093008147.jpg
 
Hahaa!watu na mahaba yao aiseh!

Mie ugomvi/makelele hatupatani kabisaa siwezi ligi mie.Kuna siku nilipita uzi mmoja hivi nikatoa komenti aiseh kuna id kama mbili hivi zikaanza kutoa povu nikabaki nacheka tu.

Wcb wanaleta ushindani kwenye soko la muziki sawa lakini waangalie na nyimbo zao,nyingi huwa hazidumu masikioni
Nawapenda sana watoa mapovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naenda nao jino kwa jino mpaka wanakimbiloa kusema punguza hasira,inawauma sana ukikosoa chochote kuhusu wcb
 
Back
Top Bottom