Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliusoma huu uzi jana nikakosa cha kusema zaidi ya hiiii.
Yaani ingekuwa mie ningeishia hapohapo kuwatafuta,shuaini zao[emoji124][emoji124][emoji124]
Naona sidekid anafunga safari kuwasaka akina tiffa. Mie nampa mabango hapa,maana ni kero watu wanaonyesha hawakutaki kaa kando yeye kiherehere kama hamisa kutwa kujiweka pasipo mhusu
 
[emoji23]
IMG_20180816_222513.jpg
IMG_20180816_222518.jpg
 
Naona sidekid anafunga safari kuwasaka akina tiffa. Mie nampa mabango hapa,maana ni kero watu wanaonyesha hawakutaki kaa kando yeye kiherehere kama hamisa kutwa kujiweka pasipo mhusu
Unajua nimemuelewa kidogo mtoa mada,yeye anataka ukaribu na ndugu zake lakini inaonekana nduguzake hawataki ukaribu na yeye.

Unajua ukishakuwa mtoto wa nje kama mzazi hakufanya jitihada za kukuzoeza na nduguzako inakiwa shida.
Siku zote mtoto wa nje unaonekana huna dhamani na wala hustahili chochote,unatengwa tu na hautapendwa na yeyote yule zaidi ya mzazi wako.
 
Back
Top Bottom