Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1535094160248.jpg
 
Bila shaka chanzo cha yeye kupotea ni wewe...Hawezi kuwa anajitosa ziwani usiku kucha kukutafutia samaki, kubebelea midompo mpaka analewa pasipo kunywa na bado unampangia foleni[emoji23]...Shwaini kabisa
Ningekuwa mie yeye ningejitia kitanzi tu ieleweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanionea ujue??
 
Sio kila mtu bhana,tulikuwa watano tu[emoji23][emoji23][emoji23].
Mzee wa ini akaja kufukua makaburi usiku na kusema eti ubuyu ulimpita[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote walioona lazima watie neno, basi kama ndivyo ngoja niscreen shot, kwa faida ya waliopitwa[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha! Sasa sijui umewaza visima vipi ngamia aweza inamisha shingo yake na kukausha maji..[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyewe hata sijui niliwaza nini ulivyosema visima hadi nikaanza kuwaza yawezekana si ngamia bali ni "ngamia"maana huyo pekee ndo anaweza kausha " visima"[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyewe hata sijui niliwaza nini ulivyosema visima hadi nikaanza kuwaza yawezekana si ngamia bali ni "ngamia"maana huyo pekee ndo anaweza kausha " visima"[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134], Mungu wa waisrael.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaiiniiiii zako,sijui unalengo gani na mimi
Na hapo bro jana hakutokea sijui ingekuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mpaka kieleweke...Huwezi kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio kiasi chote hiki...Nakataa.
Yegomasika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom