Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zanguuuu.
Hivi huwa ukilala waota nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ruwaa we mzee sikuwezi [emoji119][emoji119][emoji119]
Khaaaa!!mbona kama anataka kutoboa njia??[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mmeyaanzisha wenyewe, kuchangia mimi nongwa... Msinikaushe uzazi
Baadayeniii
250021_e083bd052f8d7aef856809de52c57f9f.gif
 
Ukubali usikubali. Sura nzuri ni asset. Ukiwa na sura ngumu kuna baadhi ya sehemu huwezi kuajiriwa. Wanasaikolojia wameandika mara nyingi, sura yenye mvuto ni rahisi kupata kibali kwa watu. Watu wa marketing na customer services wanalielewa hili fika.
Ahsante mkuu, acha nitulie na vyeti vyangu sasa... Sikujua kwamba hicho kigezo ndio kinifelishacho kwenye intaviuu...
[emoji134] [emoji134] sijui nikasomee kuchimba visima?!!!
 
Back
Top Bottom