Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1535077903376.jpg
 
Sijui kwanini akili (ya kuziamsha kwa kupepea utadhani moto wa mkaa wa kipindi cha masika) yangu inapokea mambo vaisivesa?! Mnisaidie tu, msinitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tuko pamoja nawe,, ndio maana twajitahidi sana kuenenda na uelekeo wa akili zako....Tunaelewana.
Sema hiyo avatar yako uje uibadili, hiyo ndonga kama bongo lala...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aendelee kuwabariki sana.
Nakumbuka tangu darasa la pili nilivyo katazwa bakibencha, mimi ni mbele tu hadi nimempata mama yenu... Yaani ni mbele tu... Nimesha zoea mbele, nadhani inanisaidia kutokana na ugumu wa nyuma... Nina kichwa kizito sana, japo sio kikubwa kihivyooo...
Endeleeni kunyoosha mikono yenu ili kukishika kichwa changu kichangamke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli hili likichwa itabidi nilitoe
 
Mungu aendelee kuwabariki sana.
Nakumbuka tangu darasa la pili nilivyo katazwa bakibencha, mimi ni mbele tu hadi nimempata mama yenu... Yaani ni mbele tu... Nimesha zoea mbele, nadhani inanisaidia kutokana na ugumu wa nyuma... Nina kichwa kizito sana, japo sio kikubwa kihivyooo...
Endeleeni kunyoosha mikono yenu ili kukishika kichwa changu kichangamke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunaelewana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom