Nakazia [emoji375][emoji373]Hii nyimbo inapewa promo lakini haina uzuri wowote,yamejaa matusi tu kama taarabu za mzee yusuph.
U naigeria mwingi mara sana
Hii nyimbo hamna kitu,wale wapenda biti za nyimbo hasa za naigeria wataipenda lakini humo ndani ni hovyo tuNikajua siielewi peke yangu
[emoji23][emoji23]kumbe tuko wengi.Nakazia [emoji375][emoji373]
Kipindi iko yeye hakua rahisi[emoji23] [emoji23]Hivi Magufuli anajua Anna Makinda alipata ujauzito akiwa shuleni na bado akaja kuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri?
Bhasi acha nibakinayo hii tafsiri maana umeamua kuikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sikuwa na maana hiyo basi
Heeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah huyu kaenda extea miles[emoji23][emoji23]kumbe tuko wengi.
Kuna mahala nimeona mtu kasema eti haina tofauti na mvumo wa radi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawapenda sana watoa mapovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naenda nao jino kwa jino mpaka wanakimbiloa kusema punguza hasira,inawauma sana ukikosoa chochote kuhusu wcbHahaa!watu na mahaba yao aiseh!
Mie ugomvi/makelele hatupatani kabisaa siwezi ligi mie.Kuna siku nilipita uzi mmoja hivi nikatoa komenti aiseh kuna id kama mbili hivi zikaanza kutoa povu nikabaki nacheka tu.
Wcb wanaleta ushindani kwenye soko la muziki sawa lakini waangalie na nyimbo zao,nyingi huwa hazidumu masikioni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhasi acha nibakinayo hii tafsiri maana umeamua kuikana[emoji23]
Ndo nimejua leoUlkua hujui pia.?
[emoji23][emoji23][emoji23]nitakuwa naanzisha ugomvi halafu naku tagNawapenda sana watoa mapovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naenda nao jino kwa jino mpaka wanakimbiloa kusema punguza hasira,inawauma sana ukikosoa chochote kuhusu wcb
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliusoma huu uzi jana nikakosa cha kusema zaidi ya hiiii.
Mbona mapema sana buda?F you
Mapema nini TenaMbona mapema sana buda?